Mbegu
-
Holstein Friesian (Friesian & Red Holstein)
Ng'ombe aina ya Holstein Friesian inatoka Ulaya (Uholanzi). Holsteins wanatambulika haraka kwa alama zao za rangi tofauti na uzalishaji mkubwa wa maziwa. Holsteins ni ng'ombe wakubwa wenye muonekano wa rangi nyeusi na nyeupe au nyekundu na nyeupe.

